Video

Tazama Video | Download Audio: Geofrey Kamwela – Nishike Mkono

Kutoka mjini morogoro Tanzania kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com leo tumekuwekea video mpya kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Geofrey Kamwela video ya wimbo huu inaitwa Nishike Mkono ikiwa imeongozwa na director Killen Chuwa kutoka studio ya Killen production na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio hiyo hiyo.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Nishike Mkono kutoka kwa mumbaji Geofrey Kamwela na usiache kumpa sapoti kwa kuwashirikisha wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia wengi zaidi duniani kote na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Geofrey Kamwela kupitia
Simu/WhatsApp: +255 753 877 265
Facebook: Geofrey Kamwela
Email: geofreykamwela1@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Music Audio: Mr.Vee The Spice - All Of A Sudden

Next post

Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi April 2017. Hizi Hapa.