Habari

Tazama Picha kumi za Mwimbaji Rogate Kalengo akiwa katika pozi tofauti.

Mwimbaji Rogate Kalengo ni miongoni mwa waimbaji wanaofanya vyema katika tasnia ya muziki wa Injili hapa Tanzania na nyimbo zake zimekuwa zikipokelewa vizuri na mashabiki wa muziki huu ndani na nje ya nchi, pia Rogate aliwahi kuwa Mshindi wa shindano la Gospel Star Search 2016(GSS) na kushika nafasi ya Tatu. Mpaka sasa anatamba na wimbo wake wa Kuna Namna na yupo njiani kuachia wimbo wake mwingine hivi karibuni.

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Habari: Mchungaji Faraja Hamuli wa Kanisa la T.A.G Amepata Ajali ya Gari.

Next post

Geraldine Oduor Mwimbaji kutoka Nchini Kenya Awashauri Waimbaji wa Tanzania Namna ya kutunza Talanta zao.