Connect with us

Tazama Music Video | Download Audio: Goodluck Gozbert – Shukurani

Muziki

Tazama Music Video | Download Audio: Goodluck Gozbert – Shukurani

Shalom katika Bwana! leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea video mpya iitwayo Shukuruni kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefanya vizuri sana nchini Tanzania na afrika mashariki na huyu si mwingine bali ni Goodluck Gozbert. Video hii imeongozwa na director Destro na wimbo ukiwa umefanyika ndani ya studio ya Mpo Africa.

Wimbo huu ni wa sifa ya kumshukuru Mungu kwa kila jambo analotutendea katika maisha yetu sisi kama wanadamu kwa kuwa kila hatua huleta maadiliko mapya katika maisha yetu ya kiroho na mwili hivyo kupitia wimbo huu na video hii Goodluck anatukumbusha kutafakari upya wema wa Mungu juu ya maisha yetu. ukitazama video hii utagundua siri nyingi zilizobebwa katika ujumbe huu ambao hakika unamtukuza Mungu kwa kiwango cha hali juu sana.

Hii ni moja kati ya video nzuri na bora sana katika tasnia ya muziki wa Injili zilizoachiwa mwaka huu 2017 nchini na kwa moyo mkunjufu kabisa gospomedia.com tunakukaribisha uweze kutazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi kiroho. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Goodluck Gozbert kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 655 212 720 au +255 654 276 560​⁠​
Facebook: Goodluck Gozbert
Instagram: @goodluckgozbert
Youtube: Goodluck Gozbert
Twitter: @goodluckgozbert
Website: www.goodluckgozbertministry.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top