Connect with us

Tazama Music Video: Agatha Mhina – Mkono wa Bwana

Video

Tazama Music Video: Agatha Mhina – Mkono wa Bwana

Kutoka jijini Dar Es Salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa  mwimbaji wa nyimbo za Injili anayejulikana  kwa jina la Agatha Mhina video ya wimbo huu inaitwa Mkono wa Bwana video ikiwa imeongozwa na director Makero Jr  kutoka studio ya Seki n’ So Pictures na wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Enock nyong’oto  kutoka katika studio za Eck Production.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kutazama, kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Mkono wa BWana kutoka kwa muimbaji Agatha Mhina na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Agatha Mhina kupitia
Simu/WhatsApp: +255744 455701
Facebook: Agatha Mhina
Instagram: @Agatha Music
Email: agathamhinamusic@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

More in Video

To Top