Connect with us

Audio: Taonga Feat. Keisha – Take Me Deeper

Muziki

Audio: Taonga Feat. Keisha – Take Me Deeper

Kutoka nchini Zambia kwa mara ya kwanza tumekusogezea wimbo unaokwenda kwa jina la Take Me Deeper ulioimbwa na mwimbaji Taonga akiwa amemshirikisha Keisha.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Amen.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

To Top