gospomedia.com ni blogu ya kikristo inayorusha habari, nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kutoka ndani na nje ya Tanzania.

Mpaka sasa blogu hii inaendelea kupata mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake miaka miwili iliyopita kwa kufanikiwa kwake na kuendelea kuifikia jamii kubwa ya wakristo na hata ile isiyo ya wakristo kutoka ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Blogu hii imekuwa inatembelewa kwa wastani wa mara zaidi ya laki mbili kwa siku kutoka nchi zaidi ya hamsini duniani kote ikiwemo ikiwemo Bara la Afrika na nchi za bara la Ulaya.

Timu na uongozi wa blogu ya gospomedia.com inayofuraha kuzikaribisha Taasisi mbalimbali ikiwemo shule, vyuo, makanisa, mashirika, makampuni na watu binafsi kutangaza kupitia blogu hii ili kuifikia jamii inayokusudiwa kwa upana.

Kwa huduma ya matangazo tafadhali wasiliana nasi kupitia simu(whatsapp) +255 755 038 159 au tutumie barua pepe kupitia gospomedia@gmail.com. Karibu!

Advertisements