Connect with us

Tamasha la Utamaduni wa Kisukuma Linalounganisha Ukristo na Tamaduni Asili

TAMADUNI NA KANISA

Top Stories

Tamasha la Utamaduni wa Kisukuma Linalounganisha Ukristo na Tamaduni Asili

Tamasha la utamaduni wa kisukuma Bulabo ambalo hufanyika kila mwaka nchini Tanzania huleta pamoja shughuli za utamaduni na zile za kikristo.

Tamasha hili ambalo huvutia mamia ya watu kila mwaka hutanguliwa na maandamano ya ekaristi takatifu kabla ya shughuli za kitamaduni kufanyika

Mzee Fumbuki Lubasa ambaye ni msaidizi wa Chifu Edward Makwaiya wa Busiya anasema Tamasha hilo bado lina umuhimu mkubwa.

Chanzo: BBC

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top