Uncategorized

Tamasha la Mtakatifu Kutoka Kwa John Lisu Lililofanyika Arusha Tar 5 March 2017. Habari Picha Hizi Hapa.

MTAKATIFU CONCERT TOUR ni tamasha ambalo lina kusudi ya kuzunguka kwenye baadhi ya mikoa hapa nchini Tanzania ambapo albamu ya Mwimbaji John Lisu  iitwayo MTAKATIFU ilizinduliwa mwezi October mwaka jana (2016) na kufanikiwa kufanya tour katika mkoa wa Mbeya mnamo mwezi Disemba na kufanikiwa kufanya tour nyingine mwezi Machi mkoani Arusha tarehe 05 katika ukumbi wa Metropole.

“Kuna mikoa mingi tunatarajia kufika na watu watarajie ujio wetu, tutasema ni wapi panafuata ili tumwabudu Mungu kwa pamoja” by Prosper Mwakitalima (Meneja na mwandaaji wa tamasha hili na mengine ya John Lisu)

Pastor Philip akihudumu kwa maombi.

Shangwe Voices.

Mchungaji Philip na Wambura wakiweka wakfu album ya John Lisu “MTAKATIFU”

MD Jimmy Kimutuo

Minista Sami K toka Uganda.

Minista Sami K toka Uganda.

Mc John Pazia.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: PeaceKing David Feat Christina Shusho-Chibuikem

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Prince Amos-Kisha Nikaona