Connect with us

Video: Sylvia Alexander – Nipe Ujasiri

Video

Video: Sylvia Alexander – Nipe Ujasiri

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa kwa jina la Sylvia Alexander na hii ni video yake ya kwanza kuitambulisha kwa mwaka huu 2019 inayokwenda kwa jina la Nipe Ujasiri.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Sylvia Alexander kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 701 024
Facebook: Sylvia Alexander
Instagram: @sylviaalexander
Youtube: OFFICIAL SYLVIA Alexander

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top