Audio

Audio: Suzie P. Mahalu – Mungu Akikubariki | Nikuite jina gani

Suzie P. Mahalu ni mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili akitokea jijini Dar es salaam ambaye kwa mwezi wa Januari aliachia wimbo wake uitwao Tangulia Yesu, na sasa kwa mara nyingine tena ameachia nyimbo zake mbili kwa mpigo ya kwanza ikiitwa kwa jina la Mungu akikubariki na wimbo wa pili unaitwa Nikuite jina gani.

Mungu akikubariki ni wimbo uliobeba ujumbe wa kutukumbusha juu ya kutoa kwa upendo kwa wengine wenye uhitaji kwa maana Mungu hubariki kwa yule ambaye anatoa kwa kile ambacho amebarikiwa kwa kile alichonacho, na wimbo Nikuite Jina Gani ni wimbo wa sifa unaomtukuza Bwana kwa ukuu na upendo wake wa ajabu katika maisha yetu.

Nina imani kuwa utafurahia na kubarikiwa na nyimbo hizi, Karibu kusikiliza na kupakua, Barikiwa!

Download Audio

Download Audio

wa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Suzie P. Mahalu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 280 817
Facebook: Suzan Pollycarp
Instagram: @suzanpollycarp
Youtube: Suzie P. Mahalu

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Julian Roberts - Read All About it(Cover)

Next post

Audio: Shasha Solo - We ni kila kitu kwangu