Audio

Audio: SuperRhymer Feat. James Sakala-Uzamuziba Yesu

Kutoka nchini Zambia leo tumekusogezea wimbo uitwao Uzamuziba Yesu kutoka kwa rapa wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop anayefahamika kwa jina la Lameck Zulu maarufu kama SuperRhymer hapa akiwa amemshirikisha mwimbaji na mtayaarishaji wa nyimbo za Injili James Sakala.

Uzamuziba Yesu ni neno lenye asili ya lugha ya Kizulu likimaanisha “Utamjua Yesu” (You Will Know Jesus), Wimbo huu unazungumzia juu ya uthibitisho wa uwepo wa Mungu kupitia miujiza yake na wimbo unaoonyesha moyo wa shukrani kwa Mungu kwa yale ambayo tumepata kubarikiwa mpaka sasa, Yeye ndio sababu ya uhai wetu, Yeye ndio sababu ya nguvu yetu katika kumwimbia na kumsifu, Kama bado hujaokoka Ipo siku Utamjua Yesu.

Kwa moyo mkunjufu tunakuaribisha kusikiliza na kupata wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa!

 

Download Audio

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: K-Leb & Mwansa-God Is Good

Next post

Audio: Liza J-Umenifurahisha