Connect with us

Video: Subira Mwikwabi – My Hero

Subira Mwikwabi - My Hero

Muziki

Video: Subira Mwikwabi – My Hero

Subira Mwikwabi - My Hero

Baada ya kuachia video ya wimbo uitwao Jeshi la Mtu 1 mwezi Februari 2019 kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dodoma maarufu kama Subira Mwikwabi ametusogezea video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la My Hero.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa itakubariki na kukuinua kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Subira Mwikwabi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 768 022 673
Facebook: Subira Mwikwabi
Instagram: @subiramwikwabi
Youtube: Subiramwikwabi Nyakimori

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

Jiunge Nasi

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea updates za kiinjili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 16,082 other subscribers

To Top