Connect with us

Audio: Steven Sabugo – Asante Yesu

Audio

Audio: Steven Sabugo – Asante Yesu

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo uitwao INUKA kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Steven Sabugo kutoka mjini Moshi Kilimanjaro ameachia wimbo wake mpya uitwao Asante Yesu.

“Asante Yesu ni wimbo wa Shukrani kwa Mungu ukiwasisitiza watu kujua kuwa Mungu ndiye pekee anayetupatia Neema na Baraka zote haijalishi unapitia magumu kiasi gani au umebarikiwa kiasi gani bado unapaswa kutambua na kukumbuka kuwa vyote hivyo vina mpango wa Mungu ndani yake, Hivyo yatupasa tujue kuwa kumshukuru Mungu ni lazima” – Steven Sabugo

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Steven Sabugo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 806 384
Facebook: Steven Sabugo
Instagram: @stevesabugo
Youtube: Steven Sabugo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top