Somo Kutoka kwa Milca Kakete: ''Upotevu wa Muda'' - Gospo Media
Connect with us

Somo Kutoka kwa Milca Kakete: ”Upotevu wa Muda”

Mafundisho

Somo Kutoka kwa Milca Kakete: ”Upotevu wa Muda”

Shalom shalom!! leo kupitia tovuti gospomedia.com, Mwimbaji Milca Kakete amekuletea ujumbe wa Upotevu wa Muda ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa somo lake kuu la Tembea na Wenye Hekima ambalo linarushwa kila wiki kupitia tovuti ya gospomedia.com.

Leo katika ujumbe wa Upotevu wa Muda, mwimbaji Milca Kakete amezungumza haya yafuatayo:

Je kukimbilia maamuzi ya haraka na yasiyokuwa na hekima wala busara ni kukomboa wakati?

Ama kufanya maamuzi yakinifu yaliyojawa uaminifu, heshima na kibali cha Mungu bila kuhesabu wakati wa dunia ni kupoteza muda?

Jibu ni hilo la pili….

Angojeaye kwa subira na uaminifu anayo matunda ya kudumu. Neno la Mungu lasema heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake.

Ni bora dunia ikaona kuwa umekawia ila ukabaki katika mapenzi na mpango wa Mungu.

Tembea na Wenye Hekima By milca kakete~mk the worshiper

logo-milca

Mwimbaji Milca Kakete kwasasa anaishi nchini marekani, ila kwasasa anatamba na video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la NATAKA NIKUABUDU ikiwa ni moja ya wimbo uliobeba jina la Album yake mpya iliyo katika mfumo wa DVD inayotambulika kwa jina la NATAKA NIKUABUDU.

Kama hujapata nafasi ya kuitazama video hii mpya ya Nataka Nikuabudu unaweza kuitazama hapa kisha washirikishe na wengine ili nao waweze kubarikiwa.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Milca Kakete kupitia
Simu/WhatsApp: +1(905)3415664
Facebook: Milca Kakete
Instagram: @milcakakete
Twitter: milca kakete
Facebook Page: Milca Kakete Ministry
Email: milcakakete@yahoo.com

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

More in Mafundisho

To Top