Video | Audio: Silvia Felix - Asante - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Silvia Felix – Asante

Audio

Video | Audio: Silvia Felix – Asante

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Silvia Felix na huu ni wimbo wake kwanza kwa mwaka 2018 uitwao Asante.

Video hii imeongozwa na director Ivan, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Green Records chini ya mikono ya prodyuza Gachi B na J Wiz.

Asante ni wimbo uliobeba ujumbe wa kumrudishia Mwenyezi Mungu sifa na utukufu kwa uweza wake mkuu unaoonekana katika vyote.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Silvia Felix kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 756 170041, +255 717 222 054
Facebook: Silvia Felix
Instagram: @officialsilviafelix
Youtube: Felix Chogero

More in Audio

To Top