Audio: Silvabel - Washa - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Audio: Silvabel – Washa

Audio

Audio: Silvabel – Washa

Kutoka jijini Dar es salaam leo kwa utukufu wa Bwana, nimekuletea wimbo uitwao Washa kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Silvabel, muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Sampamba Music chini ya mikono ya prodyuza Sampamba.

Kwa mujibu wa mwimbaji Silvabel alisema kuwa wimbo huu unazungumzia nguvu ya injili katika uponyaji na ulinzi wa Mungu kwa mwanadamu, Moto wa injili sio sawa na moto wa kiberiti au mwingine, moto huu unaponya magonjwa na kuunguza mamlaka za giza (wachawi).

Ni hakika utaufurahia na kubarikiwa kupitia wimbo huu, nakukaribisha kusikiliza na kupakua, Yesu akawashe moto wa baraka juu ya maisha yako.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Silvabel kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 679 092 345
Facebook: Silvanus Abel
Instagram: @silvanusabel

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

More in Audio

To Top