Audio: Silvabel Msuya - Usiku Mtakatifu - Gospo Media
Connect with us

Audio: Silvabel Msuya – Usiku Mtakatifu

Audio

Audio: Silvabel Msuya – Usiku Mtakatifu

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kama Silvabel Msuya ameachia wimbo uitwao Usiku Mtakatifu ikiwa ni zawadi maalumu ya Krismasi kwa watu wote.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki wakati tunasubiri kumpokea mwana mkombozi Bwana wetu Yesu Kristo, Heri ya Krismasi na mwaka mpya.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Silvabel Msuya kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 679 092 345
Facebook: Silvabel Msuya
Instagram: @silvanusabel
Youtube: Silvabel Msuya

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top