Connect with us

Sikiliza & Download Official Music Audio: Shadrack Robert Feat Angel Benard-Mungu Nilinde

Muziki

Sikiliza & Download Official Music Audio: Shadrack Robert Feat Angel Benard-Mungu Nilinde

Kutoka Arusha Tanzania leo gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Shadrack Robert akiwa amemshirikisha muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Angel Benard wimbo huu unaitwa Mungu Nilinde ukiwa umetengenezwa na producer Samtimber kutoka studio ya Fnouk iliyopo jijini Arusha.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Mungu Nilinde kutoka kwa muimbaji Shadrack Robert akiwa na Angel Benard tunakualika tena kumpa sapoti yako muimbaji huyu kwa kuwashirikisha wengine zaidi kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wote na hakika utabarikiwa sana Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Shadrack Robert kupitia
Simu/WhatsApp: +255 767 897 260
Facebook: Shadrack Robert
Instagram: @shadrackrobert
Twitter: @shadrackrobert2
YouTube: Shadrack Robert
Email: thisisshadrack@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top