Connect with us

Sikiliza & Download Official Music Audio: Magreth Andrew-Samehe

Audio

Sikiliza & Download Official Music Audio: Magreth Andrew-Samehe

Kutoka mkoani morogoro Tanzania leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Magreth Andrew wimbo huu unaitwa Samehe ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Kwanza Records iliyopo mjini morogoro.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Samehe kutoka kwa muimbaji Magreth Andrew na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Magreth Andrew kupitia
Simu/WhatsApp: +255 784 424 780
Facebook:
Instagram:

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
You may also like...

More in Audio

To Top