Connect with us

Sikiliza & Download Official Music Audio: Giveness Ngao-Nimeutoa Moyo

Muziki

Sikiliza & Download Official Music Audio: Giveness Ngao-Nimeutoa Moyo

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Giveness Ngao wimbo wake huu unaitwa Nimeutoa Moyo ukiwa umetengenezwa na producer Maestro kutoka Maestro Studio iliyopo jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Nimeutoa Moyo kutoka kwa muimbaji Giveness Ngao na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Giveness Ngao kupitia
Simu/WhatsApp: +255 764 497 827
Facebook: Giveness Ngao
Instagram: @givenessngao Youtube: Giveness Ngao

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top