Audio

Sikiliza & Download Official Music Audio: Fundi wa Yesu-Nina Haja Nawe

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili yenye mahadhi ya Gospel-Hiphop anayefahamika kwa jina la Fundi wa Yesu wimbo huu ni kwanza kwa mwaka 2017 unaitwa Nina Haja Nawe ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Hm Production chini ya mikono ya produza j.dolla beat kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Nina Haja Nawe kutoka kwa muimbaji rappa Fundi wa Yesu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti muimbaji huyu na hakika utakuwa umesaidia Injili kusambaa mahali pote kupitia muziki wa Injili. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Fundi wa Yesu kupitia
Simu/WhatsApp: +255 743 602 679
Facebook: Fundi Adamu
Instagram: @fundi adamu10

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Janet Otieno-Bisha

Next post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Esteria Paul-Umeinuliwa