Connect with us

Sikiliza & Download Official GospeMusic Audio: Iman Victor-Unijaze

Audio

Sikiliza & Download Official GospeMusic Audio: Iman Victor-Unijaze

Kutoka jijini Mwanza Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili za kusifu na kuabudu anayefahamika kwa jina la Iman Victor wimbo huu unaitwa Unijaze ukiwa umetengenezwa na producer Justin Rider kutoka Zoo Records iliyopo jijini Mwanza.

Akongea na gospomedia muimbaji Iman Victor amesema kuwa “Wimbo huu ni maombi kwa roho mtakatifu kutujaza nguvu zake na kukaa nasi kila wakati, kwani bila yeye hatuwezi lolote, tunahitaji sana roho mtakatifu.” alisema muimbaji Iman Victor.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Unijaze kutoka kwa muimbaji Iman Victor na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Iman Victor kupitia
Simu/WhatsApp: +255 757 886 756
Facebook: Iman Victor
Instagram: @ministerimanivictor Emailimanivictor@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
You may also like...

More in Audio

To Top