Connect with us

Sikiliza & Download Music Audio: Williamson Achintole-Liko Tumaini

Muziki

Sikiliza & Download Music Audio: Williamson Achintole-Liko Tumaini

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunamtambulisha kwako muimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Williamson Achintole na huu ni wimbo wake mpya kabisa unaoitwa Liko Tumaini ukiwa ni wimbo wake wa kwanza uliotengenezwa ndani ya studio ya Mpo Afrika chini ya mikono ya producer Goodluck Gozbert ambaye kwasasa pia ni muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili Tanzania.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Liko Tumaini kutoka kwa muimbaji Williamson Achintole kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti mwimbaji huyu mpya katika tasnia ya muziki wa Injili na hakika utakuwa umeisambaza Injili kupitia muziki na Mungu atazidi kukubariki na kukuinua zaidi. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Williamson Achintole kupitia
Simu/WhatsApp: +255 718 409 498
Facebook: Williamson Achintole
Instagram: @williamsonachintole
YouTube: Williamson Achintole

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top