Connect with us

Sikiliza & Download Music Audio: T-More Feat Sulle & Francis-Uliponitoa

Muziki

Sikiliza & Download Music Audio: T-More Feat Sulle & Francis-Uliponitoa

Kutoka Arusha Tanzania, gospomedia.com leo inamtambulisha kwako tena muimbaji wa nyimbo za Injili yenye mahadhi ya HipHop anayefahamika kwa jina la T-More na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Uliponitoa akiwa amemshirikisha mshindi wa GSS(Gospel Star Search) mkoa wa Dar es salaam 2016 anayefahamika kwa jina la Sulleman Wilson(Sulle) na Francis ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya CukAzbeatz international chini ya mikono ya producer  Justino.

Akiongea na gospomedia.com rapper T-More amesema kuwa wimbo huu unapatikana kwenye album yake mpya inayoitwa Eternal Kingdom ambayo ana hakika ni album ya kipekee sana ya Gospel HipHop kutoka Tanzania ambayo anaamini itakuwa baraka kwa kila atakayeisikiliza.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Uliponitoa kisha utawashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili kumpa sapoti mwanaharakati huyu wa Gospel HipHop katika kulitangaza Neno la Mungu kupitia muziki wa Injili na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwanaharakati T More wasiliana naye kupitia
Simu/WhatsApp: +255 655 816 254
Facebook: Timo Justine
Instagram: @tmore_kimrapper

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top