Connect with us

Sikiliza & Download Music Audio: Simon Damiano-Nafsi Yangu

Muziki

Sikiliza & Download Music Audio: Simon Damiano-Nafsi Yangu

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili kusifu na kuabudu anayefahamika kwa jina la Simon Damiano wimbo huu unaitwa Nafsi Yangu kutoka kwenye album yake mpya iitwayo Uwepo Wako, wimbo huu umetengenezwa na producer Baraka Isabu kutoka studio ya Pneuma Recording.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Nafsi Yangu kutoka kwa muimbaji Simon Damiano na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Simon Damiano kupitia
Simu/WhatsApp: +255 717 171 473
Facebook: Simon Damiano
Instagram: @simmydamian Twitter: @simondamiano

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top