Connect with us

Sikiliza & Download Music Audio: Prosper Munuo-Yaweh

Muziki

Sikiliza & Download Music Audio: Prosper Munuo-Yaweh

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunautambulisha kwako wimbo mpya kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Prosper Munuo na wimbo huu unaitwa Yaweh ukiwa kwenye miondoko ya kwaito na ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye album yake ya pili ambayo ni mpya inayobeba jina la Yaweh wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya Bullah Music chini ya mikono ya producer Mark.

Akiongea na gospomedia.com muimbaji Prosper Munuo amesema kuwa album hii ya YAWEH kwasasa ipo tayari na anaisambaza yeye mwenyewe hivyo kwa yeyote anayehitaji album hii anaweza kuwasiliana naye na atamfikishia album hiyo popote alipo na amewahakikishia kuwa album hiyo ni nzuri kwa kuwa ina nyimbo zenye jumbe nzuri na zenye kubariki sana na haichoshi kuisikiliza muda wowote na mahala popote.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Mshindi Anaweza kutoka kwa muimbaji Josiah Justice kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti mwimbaji huyu ambapo pia utakuwa umeisaidia kuisambaza Injili kupitia muziki na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi ya jinsi ya kuipata nakala ya album ya YAWEH na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Prosper Munuo kupitia
Simu/WhatsApp: +255 715 38 48 12, +255 766 86 69 84
Facebook: Prosper Munuo
Instagram: @prospermunuo

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top