Connect with us

Sikiliza & Download Music Audio: Nelly Music Feat Dolaa-I ‘am A Christian

Muziki

Sikiliza & Download Music Audio: Nelly Music Feat Dolaa-I ‘am A Christian

Kutoka Arusha Tanzania leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunautambulisha kwako wimbo mpya uitwao I’am A Christian kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Nelly Music hapa akiwa amemshikirikisha mkali wa miondoko ya Gospel HipHop akifahamika kwa jina la Dolaa wimbo huu ni kwanza kwa mwaka huu wa 2017 uliotengenezwa ndani ya studio ya King’s Records chini ya mikono yake mwenyewe akiwa kama producer Studio hiyo.

Akiongea na gospomedia Nelly Music amesema kuwa wimbo huu ni kwaajili ya kuwakumbusha watu wote hasa vijana kumkiri Yesu Kristo kuwa mkombozi wa maisha yao na kujivunia kuwa wakristo kwa maana wokovu ni halisi katika roho na mwili kwa maana kupitia damu ya Yesu Kristo imetufanya kuwa viumbe wapya.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa I’am A Christian kutoka kwa muimbaji Nelly Music akiwa amemshirikisha Dolaa kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kuwapa sapoti vijana hawa amabo wameamua kulitangaza neno a Mungu kupitia muziki wa Injili na hakika Mungu atazidi kukubariki na kukuinua zaidi. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Nelly Music kupitia
Simu/WhatsApp: +255 654033998
Facebook: NellyMusic Martin  Mugarula
Instagram: @nellymusic_mugarula
Twitter: NellyMusicKb

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top