Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Sikiliza & Download Music Audio: Lugano Kapologwe-Nikujue

Audio

Sikiliza & Download Music Audio: Lugano Kapologwe-Nikujue

Kutoka Mwanza Tanzania, gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Nikujue kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Lugano Kapologwewimbo huu umetengenezwa chini ya mikono ya producer Johnson Kimaro.

Akiongea na gospomedia.com muimbaji Lugano Kapologwe amesema kuwa wimbo huu ni wenye mahadhi ya kuabudu uliyojaa uwepo wa Mungu kwa mashairi na ala za muziki zilizopangiliwa katika wimbo huu, na anaamini kuwa kupitia wimbo huu watu wengi watabarikiwa na kuinuliwa kiroho na kimwili kila wakati watakapokua wanasikiliza wimbo huu ambao anaamini una nguvu za Roho Mtakatifu ndani yake.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kupakua wimbo huu wa Nikujue kutoka kwa muimbaji Lugano Kapologwe kisha mpe sapoti yako kwa kuwashirikisha watu wengine wengi wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wote duniani na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi. Karibu!! 

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Lugano Kapologwe kupitia
Simu/WhatsApp: +255 717 320 497 au +255764047933
Facebook: Lugano Isaiah
Instagram: @luggy90
YouTube: Lugano Isaiah
Email: luggy40@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top