Connect with us

Sikiliza & Download Music Audio: John Lihawa Feat Lydia Thom-Kama Joshua

Muziki

Sikiliza & Download Music Audio: John Lihawa Feat Lydia Thom-Kama Joshua

Kutoka Dar es salaam Tanzania, gospomedia.com leo inamtambulisha kwako muimbaji mpya wa nyimbo za Injili yenye mahadhi ya HipHop anayefahamika kwa jina la John Lihawa akiwa amemshirikisha muimbaji mwenzake anayefaamika kwa jina la Lydia Thom na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Kama Joshua ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Tuners Production chini ya mikono ya producer Kassumper Mashati akishirikiana na producer Edwin Mrope kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tumekuwekea wimbo huu uweze kuusikiliza na kuupakua kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili wengine wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa Kama Joshua na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji John Lihawa wasiliana naye kupitia.
Simu/WhatsApp: +255 717 523 620
Facebook: John Lihawa
Instagram: @johnlihawa

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top