Connect with us

Sikiliza & Download Music Audio: Godwin Praize – Mate Machozi_Jasho la Damu

Muziki

Sikiliza & Download Music Audio: Godwin Praize – Mate Machozi_Jasho la Damu

Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania kwa miondoko ya Gospel HipHop anayefahamika kwa jina la Godwin Praize leo ameachia rasmi kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la Mate Machozi, Jasho la Damu ikiwa ni wimbo wake wa pili kwa mwaka 2017 uliotengenezwa ndani ya studio ya AJ Records kutoka mkoani dodoma.

Akizungumza na gospomedia.com, Godwin Praise amesema kuwa wimbo huu mpya ni kwaajili ya kuwakumbusha wakristo wote kuwa tunapotembea kifua mbele na kufurahia ukristo basi tukumbuke ulitokana na mateso ya bwana Yesu ikiwemo kutemewa mate, kutokwa machozi na jasho la damu ambavyo vyote hivi ni ishara ya wokovu juu dambi zetu kama wanadamu.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Mate Machozi, Jasho la Damu kutoka kwa muimbaji wa miondoko ya Gospel HipHop na hakika utabarikiwa sana kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili injili iweze kuwafikia watu wote mahali pote duniani. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Godwin Praize wasiliana naye kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255678 392 954/+255759 625 696
Email: msingidahbaby@gmail.com
Facebook: godwin praize
Instagram: @godwinpraize
Twitter: godwin praize
Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top