Audio

Sikiliza & Download Music Audio: Black Samaritan Feat Lunger, Stella & Solver-Ahadi

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania, leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya uitwao Ahadi kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop anayefahamika kwa jina la Black Samaritan akiwa amemshirikisha Lunger, Stella na Solver wimbo ukiwa umetengezwa na producer anayefahamika kwa jina la Iddy Sound kutoka studio ya Revenge Production iliyopo kiwalani jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu uitwao Ahadi kutoka kwa muimbaji Black Samaritan akiwa amemshirikisha Lunger, Stella na Solver.

Unaweza kumpa sapoti yako kwa kuwashirikisha watu wengine zaidi wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia watu wengi ili iweze kuwabariki na kuwakoa na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na mwimbaji Black Samaritan kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 716 080 838
Facebook: Frank Yunus
Instagram: @blacksamaritan

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Tanzania One Soul - Ni salama

Next post

Sikiliza & Download Music Audio: Machalii Wa Yesu - Faraja Yako