Connect with us

Sikiliza & Download Music Audio: Alicia Charles-Mimi Ni Wako

Muziki

Sikiliza & Download Music Audio: Alicia Charles-Mimi Ni Wako

Kutoka Arusha Tanzania, gospomedia.com leo inamtambulisha kwako muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Alicia Charles ambaye ni mshindi wa sita kwenye mashindano ya Gospel Star Search(GSS) 2016 Mkoa wa Arusha na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Mimi Ni Wako ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Habari maalum Media iliyopo jijini Arusha.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kuusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi ili wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa Mimi Ni Wako na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji Alicia Charles wasiliana naye kupitia.
Simu/WhatsApp: +255 758568504
Facebook: Alicia Charles
Instagram: @elisia.amen777

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top