Audio

Sikiliza & Download GospelMusic Audio: Ritha Komba – Kivulini

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Ritha Komba wimbo wake huu unaitwa Kivulini ukiwa umetengenezwa na producer Kingson kutoka studio ya Mefo Music kutoka mjini Mbeya.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Kivulini kutoka kwa muimbaji Ritha Komba na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Ritha Komba kupitia
Simu/WhatsApp: +255 712 496 727
Facebook: Ritha Komba
Instagram: @rithakomba Email: rithakomba@yahoo.com au synyoritha@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Mc Freddie Feat Mr.Mike-Wakusamehe

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Sauti Ya Ushuhuda (SYU)-Wale Wale