Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Sikiliza & Download Gospel Music: Machalii wa Yesu – Mabokolikolo

Audio

Sikiliza & Download Gospel Music: Machalii wa Yesu – Mabokolikolo

Kutoka mjini arusha Tanzania gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya kutoka kwa kundi mahiri la waimbaji wa muziki wa nyimbo za Injili linalofahamika kwa jina la Machalii wa Yesu wimbo huu unaitwa Mabokolikolo ikiwa asili ya neno ya hili ni lugha ya kikongo likimaanisha “Inua Mikono Juu” audio ikiwa imetengenezwa na producer samtimber kutoka jijini Arusha.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Mabokolikolo kutoka kwa kundi la waimbaji Machalii wa Yesu na usiache kuwapa sapoti kwa kuwashirikisha wengine zaidi wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia watu wengi zaidi duniani kote na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na kundi la waimbaji hawa Machalii wa Yesu kupitia
Facebook page: Machalii wa Yesu

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top