Audio

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Sarah Ndosi – Piga Hatua

Kutoka Dar es salaam Tanzania, gospomedia.com leo tunakualika uweze kusikiliza na kupakua wimbo mpya uitwao Piga Hatua kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Sara Ndosi akiwa wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio za Samyonah Production chini ya mikono ya producer anayefahamika kwa jina la Samyonah kutoka jijini Dar es salaam.

Akiongea na timu ya gospomedia.com muimbaji Sarah Ndosi amesema kuwa ameauachia wimbo huu wa Piga Hatua kwa kuwapongeza na kuwatia moyo watu na vijana mbalimbali ambao wamepiga hatua katika mambo mbalimbali wanayoyafanya na kuwasihi wasikate tamaa kwakuwa Mungu anaendelea kuwapigania.

Hata hivyo sarah ndosi ameongeza kuwa wimbo huu wa Piga Hatua ni moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye album yake mpya yenye mkusanyiko wa nyimbo saba iliyo kwenye mfumo wa Audio CD inayokwenda kwa jina la Natamani ambayo pia amesisitiza mashabiki wake kuipata album hiyo ambayo anaamini itakuwa baraka juu ya maisha yao.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi ili nao wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa Piga Hatua na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi ya jinsi ya kupata nakala ya album zake au huduma zaa mialiko wasiliana na muimbaji Sarah Ndosi kupitia.
Simu/WhatsApp: +255 656 521 114
Facebook: Sarah Shilla-Ndosi
Instagram: @sarandosi
Youtube: NAS Ndosi
Email: sarah.shilla@yahoo.com
Website: www.sashi.co.tz⁠⁠⁠⁠

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Novic BCvm Feat Dolaa - Okoka Sasa

Next post

Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Zaidi Mwezi March 2017, Hizi Hapa.