Connect with us

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Rogate Kalengo Feat Evalyne Denis-Ombi Langu

Muziki

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Rogate Kalengo Feat Evalyne Denis-Ombi Langu

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunakuletea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Rogate Kalengo ambaye amekuwa mshindi wa tatu kwenye mashindano ya Gospel Star Search mwaka 2016 wimbo huu unaitwa Ombi Langu akiwa amemshirikisha muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayeitwa Evalyne Denis wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya Faith Music Lab (Fm Studio) chini ya mikono ya producer Successclassic anayepatikana jijini Dar es salaam.

Akiongea na gospomedia muimbaji Rogate Kalengo alikuwa na haya ya kusema “Mungu wetu huwa anatupa vyote tunavyohitaji hata kama hatuja omba kwa kiwango kipaswacho wakati mwingine Pia Neema na Rehema zake zadumu milele yote akitegemea tuwe watakatifu na waaminifu kama yeye lakini bado huwa kama wanadamu tunamapungufu kila iitwapo leo.. Huu wimbo unatamsaidia mtu wa namna hii  kurudi na kuumpa nguvu ya kusimama na Mungu daima.”

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Ombi Langu kutoka kwa muimbaji Rogate Kalengo kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti mwimbaji huyu ambapo pia utakuwa umesaidia kuisambaza Injili kupitia wimbo huuu na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Rogate Kalengo kupitia
Simu/WhatsApp: +255 752 254 801 au +255769103087
Facebook: Rogate Kalengo
Instagram: @rogatekalengo
YouTube: Rogate Kalengo
Email: rogatekalengo@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top