Connect with us

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Neema Faraji-Historia

Audio

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Neema Faraji-Historia

Kutoka Dar es salaam Tanzania gospomedia.com leo inamtambulisha kwako kwa mara nyingine mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Neema Faraji wimbo huu unaitwa Historia, ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Dream Record chini ya mikono ya producer Jero Tati.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Historia kutoka kwa mumbaji Neema Faraji na usiache kumpa sapoti kwa kuwashirikisha wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia wengi zaidi na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji Neema Faraji wasiliana naye kupitia
Simu/WhatsApp: +255 655 556 439
Facebook: Neema Faraji
Instagram: @official_neema_faraji
YouTube: Neema Faraji

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
You may also like...

More in Audio

To Top