Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Mtindo Elias-Huyu Yesu - Gospo Media
Connect with us

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Mtindo Elias-Huyu Yesu

Audio

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Mtindo Elias-Huyu Yesu

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania gospomedia.com leo inamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mtindo Elias wimbo huu mpya unaitwa Huyu Yesu ukiwa umetengenezwa  na producer Edwin Mrope kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Huyu Yesu kutoka kwa mumbaji mpya Mtindo Elias na usiache kumpa sapoti kwa kuwashirikisha wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia wengi zaidi na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Mtindo Elias kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 719 725 698
Facebook: Mtindo Elias
Instagram: @mtindoelias

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

More in Audio

To Top