Audio

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Mo Shilla feat Thelma – Forgiven

Kutoka Dar es salaam, Tanzania, gospomedia.com leo inamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mo Shilla na huu ni wimbo wake mpya uitwao huu Forgiven akiwa amemshirikisha mwanadada anayefahamika kwa jina la Thelma wimbo huu umetengezwa ndani ya studio yake mwenyewe iitwayo M Sound na yeye akiwa ndio producer wa studio hiyo na ndiye aliyetengeza wimbo huu.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu uitwao Forgiven kutoka kwa mumbaji ambaye pia ni producer anayefahamika kwa jina la Moses Shilla au Mo Shilla na usiache kumpa sapoti kwa kuwashirikisha watu wengine wengi zaidi wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia wengi zaidi duniani kote na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi juu ya kufanya kazi na Mo shilla au mialiko ya huduma wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 656 521 119
Facebook: Moses Shilla
Instagram: @moshilla
Twitter: Moses Shilla

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Borne Kingz - Hello

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Joel Lwaga - Sitabaki Nilivyo