Connect with us

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Mc Freddie Feat Mr.Mike-Wakusamehe

Muziki

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Mc Freddie Feat Mr.Mike-Wakusamehe

Kutoka mkoani morogoro leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunakuletea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Mc Freddie akiwa amemshirikisha muimbaji anayefahamika kwa jina la Mr.Mike wimbo huu unaitwa Wakusamehe umetengenezwa ndani ya studio ya El nino Music chini ya mikono ya maproduza wawili ambao ni Cat P na Yuck kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Wa Kusamehe kutoka kwa muimbaji Mc Freddie kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti muimbaji huyu katika kuisaidia Injili kusambaa mahali pote kupitia muziki na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Mc Freddie kupitia
Simu/WhatsApp: +255 654 051 919
Facebook: Fredie Mc 
Instagram: mc_freddie_believer
Email: mcfredietz@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top