Audio

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Kelvin Bosco – Thamani Yako

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayejulikana  kwa jina la Kelvin Bosco wimbo huu unaitwa Thamani Yako ukiwa umetengenezwa na producer Elly Da Bway kutoka studio ya Home Town Record.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Thamani Yako kutoka kwa muimbaji Kelvin Bosco na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download mp3

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Kelvin Bosco kupitia
Simu/WhatsApp: +255 717 342 232
Facebook: Kelvin Bosco
Instagram: @official_kelvinbosco

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Robert Bukelebe-Halleluyah

Next post

Tazama Video | Silikiza & Download Music Audio: Hakika Ruben - Ubatili