Audio

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Josiah Justice – Ni Wewe Uliyetenda

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunakuletea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Josiah Justice na wimbo huu unaitwa Ni Wewe Uliyetenda ukiwa ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye album yake mpya inayobeba jina la Hakuna Kama Wewe wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya Eye Pictures Records chini ya mikono ya producer Ngoti anayepatikana jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Ni Wewe Uliyetenda kutoka kwa muimbaji Josiah Justice kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti mwimbaji huyu ambapo pia utakuwa umeisaidia kuisambaza Injili kupitia muziki na hakika utabarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Josiah Justice kupitia
Simu/WhatsApp: +255714 390 059
Facebook: Josiah Justice255
Instagram: @josiahjustice
Twitter: Josiah Justice
Email: josiah@jmjproduction.net

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Ephraim Ezekiel-Mkono wa Mungu

Next post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Rogate Kalengo Feat Evalyne Denis-Ombi Langu