Connect with us

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Joseph Joel – Hata Hilo Linapita

Muziki

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Joseph Joel – Hata Hilo Linapita

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayejulikana  kwa jina la Joseph Joel wimbo huu unaitwa Hata Hilo Linapita ukiwa umetengenezwa na producer Dickson Gripper kutoka studio ya DG Production.

Akiongea na gospomedia.com mwimbaji Joseph Joel amesema kuwa wimbo huu wa HATA HILO LINAPITA ni maalumu kwa watu wote wenye roho ya kukata tamaa na kuwakumbusha kuwa yawezekana wanapitia kwenye majaribu mbalimbali kama vile Kukataliwa, Kutofanikiwa na mambo mengine mengi ambayo yamekuwa kikwazo kwenye maisha yao. Lakini naomba watambue kuwa hayo yote ni ya muda tu yupo Mungu anayeweza yote duniani na Mbinguni. alisema mwimbaji Joseph Joel.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Hata Hilo Linapita kutoka kwa muimbaji Joseph Joel na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Joseph Joel kupitia
Simu/WhatsApp: +255 712 593 373
Facebook Page: Joseph Joel Music
Instagram: @josephjoelmusic
Youtube: Joseph Joel Music

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

To Top