Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Janet Otieno-Bisha

Audio

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Janet Otieno-Bisha

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili kutoka nchini kenya akijulikana  kwa jina la Janet Otieno wimbo huu unaitwa Bisha ukiwa umetengenezwa na producer Jacky B kutoka nchini kenya.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Bisha kutoka kwa muimbaji Janet Otieno na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Janet Otieno kupitia:
Email: jannettn@gmail.com
Facebook Page: Janet Otieno
Instagram: @janetotienoKe
Youtube: Janet Otieno

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top