Audio

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Goodluck Machaka-Sema na Yesu

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili ambaye anafahamika kwa jina la Goodluck Machaka wimbo huu unaitwa Sema na Yesu ukiwa umetengenezwa na producer Daino kutoka studio ya Daino Records

Akiongea na gospomedia.com Goodluck Machaka amesema kuwa kwa sasa yupo kwenye maandalizi ya mwisho ya kuachia album yake mpya ambayo inabebwa na jina la Mungu ni Mwaminifu ambapo wimbo huu wa Sema na Yesu umo katika album hiyo yenye mkusanyiko wa nyimbo saba hivyo amewaomba wadau na wapenzi wa muziki wa Injili kukaa tayari kwa ajili ya kupokea album hiyo ambayo anatarajia kuiacha muda wowote kuanzia sasa.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Sema na Yesu kutoka kwa muimbaji Goodluck Machaka na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji Goodluck Machaka wasiliana naye kupitia
WhatsApp: +255 765 50 62 44
Facebook: Goodluck Machaka
Instagram: @goodluckmachaka
Twitter: @goodluckmachaka

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Faith Mission Vijana Choir Chato-Nitalitangaza

Next post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Ephraim Ezekiel-Mkono wa Mungu