Connect with us

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Geofrey Kamwela-Nishike Mkono

Muziki

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Geofrey Kamwela-Nishike Mkono

Kutoka mjini morogoro Tanzania gospomedia.com leo inamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Geofrey Kamwela wimbo huu unaitwa Nishike Mkono ukiwa umetengenezwa mjini morogoro.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Nishike Mkono kutoka kwa mumbaji Geofrey Kamwela na usiache kumpa sapoti kwa kuwashirikisha wengine wimbo huu kwa kadri uwezavyo ili Injili iweze kuwafikia wengi zaidi duniani kote na hakika utabarikiwa sanaKaribu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Geofrey Kamwela kupitia
Simu/WhatsApp: +255 753 877 265
Facebook: Geofrey Kamwela
Email: geofreykamwela1@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top