Connect with us

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Gelax Wakristo – Wasiwasi

Muziki

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Gelax Wakristo – Wasiwasi

Kutoka jijini Arusha Tanzania leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa Gospel-Hiphop Tanzania anayefahamika kwa jina la Gelax Wakristo wimbo huu unaitwa Wasiwasi ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Enzi Records chini ya mikono ya produza Amzy kutoka jijini Dar es salaam.

Akiongea na GospoMedia Gelax amesema kwamba huu ni wimbo wake wa kwanza kwa mwaka 2017 ambapo pia anatarajia kuachia Extended Play (E.P) yake hivi karibuni inayokwenda kwa jina la Wakristo EP Volume 01, Hivyo amewataka wapenzi wa muziki wakae tayari kupokea vitu vizuri kutoka kwake.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Wasiwasi kutoka kwa muimbaji rappa Gelax Wakristo kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo katika kumpa sapoti muimbaji huyu na hakika utakuwa umesaidia Injili kusambaa mahali pote kupitia muziki wa Injili. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Gelax Wakristo kupitia
Simu/WhatsApp: +255 657 140 440
Facebook: Gelax Wa Kristo
Instagram: @gelaxwakristo
Twitter: @gelaxwakristo

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top