Audio

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Esteria Paul-Umeinuliwa

Kutoka mkoani Rukwa Tanzania leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Esteria Paul wimbo huu unaitwa Umeinuliwa ukiwa umetengenezwa na producer Isaya Mapito, kutoka Mapito records iliyopo mkoani rukwa wilaya ya Nkasi.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Umeinuliwa kutoka kwa muimbaji Esteria Paul na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Esteria Paul kupitia
Simu/WhatsApp: +255 785 873 450
Facebook: Esteria Msaga
Instagram: @esteria89

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Official Music Audio: Fundi wa Yesu-Nina Haja Nawe

Next post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Augustino Mhina-Pokea Sifa