Connect with us

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Emmanuel Gripa-Salama (Guitar Version Cover)

Muziki

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Emmanuel Gripa-Salama (Guitar Version Cover)

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea kazi mpya ambayo ipo tofauti kidogo na zile zilizozoeleka hii ni mpya kutoka kwa Emmanuel Gripa ambaye ni producer wa muziki wa Injili lakini pia ni mpigaji wa vyombo live hasa Gita wimbo huu umeimbwa kwa chombo cha gita ikiwa ni Cover ya wimbo wa muimbaji mahiri Angel Bernad uitwao SALAMA ukiwa umetengenezwa na yeye mwenyewe kama producer kutoka ndani ya studio ya Push Up Records.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuweza kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa kupitia kazi hii kutoka kwa kutoka kwa mwanamuziki mahiri wa nyimbo za Injili Emmanuel Gripa na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download


kama unahitaji kufanya kazi na studio ya PUSH UP Records/Entertainment wasiliana nao kupitia:
Facebook page: Push up entertainment
Instagram : @pushuprecods
Simu namba: +255 657 294 235, +255 656 571512, +255 684 334 036

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top