Connect with us

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Elvis Kiwanga – I believe

Muziki

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Elvis Kiwanga – I believe

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili ambaye kwa mwaka 2016 alitambulika na kufanya vyema kupitia nyimbo zake kadhaa kama vile Hakuna Mungu kama wewe, Hold onto You, Usikate Tamaa na Vumilia huyu si mwingine bali ni muimbaji Elvis Kiwanga wimbo wake huu mpya unaitwa I believe(Naamini) ukiwa umetengenezwa na producer Edward kutoka studio ya E Records.

Akiongea na gospomedia.com Elvis amesema kuwa kwa sasa yupo kwenye maandalizi ya mwisho ya kuachia album yake mpya ambayo anatarajia kuiacha muda wowote kuanzia sasa ndani ya mwaka huu wa 2017.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa I believe(Naamini) kutoka kwa muimbaji Elvis Kiwanga na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji Elvis Kiwanga wasiliana naye kupitia
WhatsApp: +255 652037575
Facebook: Elvis Kiwanga
Instagram: eagleredemption(Elvis Kiwanga)
YouTube: Elvis Kiwanga
Email: kiwanga@outlook.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top